Tuesday, August 3, 2021

RAIS SAMIA AREJEA NCHINI KUTOKA RWANDA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Agost 03,2021 akitokea Nchini Rwanda baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Agost 03,2021 akitokea Nchini Rwanda baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili.
-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam leo Agost 03,2021 akitokea Nchini Rwanda baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali ya siku mbili.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake