Monday, August 16, 2021

RAIS SAMIA AWASILI NCHNI MALAWI KWA AJILI YA KUSHIRIKI MKUTANO WA SADC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kuanza hapo kesho tarehe 17 hadi 18 nchini Malawi. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake