Thursday, August 5, 2021

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ISTIQAMACHARITABLE ORGANIZATION.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization Bw.Salum Mohamed Salum (wa pili kulia) wakati Uongozi wa Jumuiya hiyo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization unaoongozwa na Mwenyekiti wake Bw,Salum Mohamed Salum(wa tatu kushoto) ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa ajili ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akiagana na Uongozi wa Jumuiya ya Zanzibar Istiqama Charitable Organization baada mazungumzo na Uongozi huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya kusalimiana .[Picha na Ikulu.] 04 Aug 2021.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake