Tuesday, August 17, 2021

WAHESHIMIWA WABUNGE WAPATIWA MAFUNZO KUHUSU UVIKO – 19 NA MAELEKEZO YA CHANJO ZINAZOENDELEA KUTOLEWA KUKABILIANA NA JANGA HILO

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (kulia) akitoa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akifuatilia mafunzo yaliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (hayupo pichani) kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021
Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia mafunzo yaliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (hayupo kwenye picha) kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021, Mafunzo hayo yalihudhuliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi
Mbunge wa Viti Maalum, Neema Mgaya akiuliza swali kwa ajili ya kupatiwa ufafanuzi katika mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo yaliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (hayupo kwenye picha) katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021, Mafunzo hayo yalihudhuliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai, Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi
Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akifuatilia mafunzo yaliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (hayupo pichani) kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akifuatilia mafunzo yaliyotolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (hayupo pichani) kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Profesa Mohamed Janabi (kulia) akitoa mafunzo kwa Waheshimiwa Wabunge kuhusu Uviko – 19 na maelekezo ya Chanjo zinazoendelea kutolewa kukabiliana na janga hilo katika Ukumbi wa Msekwa leo Bungeni Jijini Dodoma, Agosti 17, 2021 katikati ni Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mbunge wa Maswa Mashariki, Stanslaus Nyongo

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake