KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Abdallah akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Beki wa Yanga, Dickson Nickson Job akionyesha jezi mpya ya ugenini ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Beki mpya Mkongo wa Yanga, Yannick Bangala Litombo akionyesha jezi mpya ya tatu ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Viongozi wa Yanga wakionyesha jezi mpya za timu hiyo msimu ujao ambazo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake