MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA SIMU NA ANGELA MARKEL WA UJERUMANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya simu na Kansela wa Ujerumani Mhe. Angela Merkel Ikulu Jijini Dar es salaam leo Sept 01,2021. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake