Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile (aliyevaa barakoa nyeusi) akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula (mwenye kilemba cheupe) wakati wa ziara ya viongozi wa Wizara hiyo kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za mradi wa Tanzania ya Kidijitali zilizopo barabara ya Sengia Mtaa wa Kisusu jijini Dodoma.Wa kwanza kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Eng. Kundo Mathew na wengine ni wajumbe wa menejimenti ya Wizara hiyo
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Wizara hiyo Eng. Kundo Mathew (wa kwanza kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi wa Wizara hiyo Armon MacAchayo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za mradi wa Tanzania ya Kidijitali zilizopo barabara ya Sengia Mtaa wa Kisusu jijini Dodoma
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili kulia), Naibu Waziri wa Wizara hiyo Eng. Kundo Mathew (kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Mulembwa Munaku (Kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi wa Wizara hiyo Armon MacAchayo wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za mradi wa Tanzania ya Kidijitali zilizopo barabara ya Sengia Mtaa wa Kisusu jijini Dodoma
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akizungumza wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa ofisi za mradi wa Tanzania ya Kidijitali zilizopo barabara ya Sengia Mtaa wa Kisusu jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Eng. Kundo Mathew na kushoto ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Manunuzi wa Wizara hiyo Armon MacAchayo
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile (wa pili kulia) alipotembelea kiwanja ambacho utafanyika ujenzi wa ofisi za Wizara hiyo kilichopo katika Mji wa Serikali Mtumba. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Utawala wa Wizara hiyo Seleman Mvunye
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Eng. Kundo Mathew alipotembelea kiwanja ambacho utafanyika ujenzi wa ofisi za Wizara hiyo kilichopo katika Mji wa Serikali Mtumba. kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala wa Wizara hiyo Seleman Mvunye
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake