Thursday, April 14, 2022

KINANA ATETA NA BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI TANZANIA



Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (kushoto) Aprili 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsindikiza Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe, (katikati) (wa kwanza kushoto) Ndg Ngemela Lubinga Katibu wa Idara ya Siasa Na Uhusiano wa Kimataifa CCM katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimuaga Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Anselem Sanyatwe,  April 13 ,2022 katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar Es Salaam. (Picha zote na Fahad Siraji)

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake