MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ASHIRIKI KATIKA IBADA YA IJUMAA KUU
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa katoliki Parokia ya Maria Theresa Ledochowska iliopo kiwanja cha ndege mkoani Dodoma leo tarehe 15 Aprili 2022
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake