Mh. Rais Samia Suluhu Hassan akiongea machache na wanadiaspora wa New York baada ya Iftar, Iftar iliyoandaliwa na Tanzania House New York siku ya tar 16 April.
Wanadiaspora wakisikiliza hotuba fupi kutoka kwa Mh. Rais baada ya Iftar, kati ya maneno yaliyokuwa kivutoa aliyoongea Mh. Rais Samia ni Salamu yake ya nawasalimu kwa jina la jamhuri kazi iendendelee, na neno la kuwa anaupiga mwingi.
Hapa ni Dr. Veronica akiongea mbele ya Mh. Rais Samia, Dr Vero alipata nafasi hii ya kuongea kama mwakilishi wa wanadiaspora New York.




No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake