ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 28, 2022

POLISI, MAHABUSU WAFARIKI KWA AJALI MWANZA


Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Mwanza

Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita,Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

No comments: