RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 19-4-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe. Banaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika leo 19-4-2022, katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kitabu kinachoelezea masuala ya Nchi ya India na Balozi wa India Nchini Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake