Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitembelea kuangalia kazi za utayarishaji wa filamu mbalimbali katika Studio za Paramount Pictures Jijini Los Angeles nchini Marekani kabla ya uzinduzi wa Filamu ya Tanzania Royal Tour 21 Aprili, 2022.





No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake