ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 9, 2024

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATOA TAARIFA KUHUSU KIMBUNGA HIDAYA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma taarifa kuhusu Kimbunga Hidaya kilichotokea pwani ya bahari ya Hindi, bungeni jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Deogratius Ndejembi (kushoto), Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (wa tatu kushoto), Waziri wa Madini, Anthony Mavunde (wa nne kushoto) , Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa pili kulia) na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: