Monday, July 8, 2024

MKURUGENZI MTENDAJI WA NBAA ATEMBELEA MAONESHO YA SABASABA

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akiwa na wafanyakazi wa Bodi hiyo kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu cha wageni kwenye Banda la Bodi hiyo lililopo ndani ya jengo la Wizara ya Fedha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kuhusu majukumu ya PSPTB kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma (PSPTB), Shamim Mdee katika maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma (PSPTB), Shamim Mdee  katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhusiano wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Sarah Goroi kuhusu kozi mbalimbali zinazotolewa na Chuo hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mawasiliano Mwandamizi Chuo Kikuu Mzumbe, Fatna Mfalingundi alipotembelea Banda la Chuo hicho katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayondelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akipata maelekezo kutoka kwa Meneja Masoko Mwandamizi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Andrew Punjila (kulia) kuhusu masuala ya Takwimu alipotembelea banda hilo kwenye jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) ndani ya jengo la Wizara ya Fedha katika Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba).
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (​NBAA), CPA Pius A. Maneno (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Uhusiano na Mawasiliano kutoka NBAA, Magreth Kageya (kushoto) na Afisa Masoko kutoka APC Hotel Conference Center Happy Sanga (kulia) mara baada ya kutembelea Banda la Kituo hicho cha Mikutano katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.

No comments: