Friday, July 12, 2024

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMEFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA VISIWA VIDOGO VIDOGO NA UHIFADHI WA BAHARI ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Uwekezaji katika Visiwa Vidogo vidogo na Uhifadhi wa Bahari Zamzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024
BAADHI ya Wawekezaji mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Uwekezaji katika Visiwa Vidogo vidogo na Uhifadhi wa Bahari Zanzibar, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024.
BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Uwekezaji katika Visiwa Vidogo vidogo na Uhifadhi wa Bahari Zanzibar , wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutibia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-7-2024

No comments: