Sunday, July 28, 2024

WAZIRI KOMBO APOKEA 'KIJITI' KUTOKA KWA MAKAMBA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameanza kazi rasmi katika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam baada ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri, Mhe. January Makamba (Mb.).


No comments: