Thursday, September 19, 2024

RAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA PRINCESS SOPHIE (DUCHESS OF EDINBURGH)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess of Edinburgh),mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh), Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh) kwenye kikao cha pamoja kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Princess Sophie (Duchess of Edinburgh), Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 18 Septemba, 2024.

No comments: