ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, October 5, 2024

RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA RAIS YA MABORESHO YA KODI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi,Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi mara baada ya hafla ya uzinduzi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Oktoba, 2024.

No comments: