Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt . Samia Suluhu Hassan apokea hati za mabalozi kutoka Nchi kumi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Novemba, 2024.
Nchi hizo ni kama ifuatavyo Kutoka Nchini Ufaransa ni Mhe. Anne-Sophie Ave'; kutoka Jamhuri ya Korea ni Mhe. Ahn Enju ; kutoka Nchini Ethiopia ni Mhe. Fekadu Beyene Ayana; kutoka Nchini Switzerland ni Mhe. Nicole Providoli; Kutoka Nchini Somalia ni Mhe. Ilyasa Ali Hassan.
kutoka Nchini Barbados ni Mhe. William Alexander Macdonald; kutoka Nchini Australia ni Mhe. Jenny Issabela Da Rin; kutoka Nchini Malaysia ni Mhe. Ruzaimi Mohammed; Kutoka Nchini Czech ni Mhe. Nicol Adamcova na kutoka Nchini Niger ni Mhe. Amadou Hassane Mai Daboua.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake