ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, November 2, 2024

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AMEKUTANA NA NAIBU KIONGOZI MKUU WA USAID MJINI IOWA MAREKANI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Kiongozi Mkuu wa USAID Bi. Isobel Coleman tarehe 31 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani.


No comments: