Sunday, December 8, 2024

IMBA TOGETHER 2024 YAACHA GUMZO WINSTON, SALEM, NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI

picha juu na chini ni Muasisi wa Imma Together Anna Simtaji akitoa neon la shukrani kwa Wote waliofika kwenye Imba Together 2024 Gospel Live iliowashirikisha wasanii kutoka Tanzania na Marekani na kuhudhuriwa na wats mbalimbali kutoka marimba mbalimbali ikiwemo kutoka Tanzania. Picha na Vijimambo Blog
Mshereheshaji Kristin (kushoto) akimshukuru muasisi wa Imma Together Anna Simtaji kwa kumshirikisha kila maka kwenye Tamasha hilo na kuahidi ana hamu ya kushiriki tena tamasha la imba together la Mwakabuta 2025 kookie litakapofanyika atakuwepo kwani anajiona kama Mwana familia wa Imba together.
Mchungaji Hananja kutoka Tanzania akifanya maombi ya sadaka.
Mama Bishop Gwajima nae akifanya maombi kwenye imba together 2024 iliyohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, Winston, Salem, North Carolina niching Marekani.
Zabron Singers wakiimba Nyimbo zao za Injili kwenye tamasha kubwa la Imba together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston Salem, North Carolina Mchili Marekani.
Muasisi wa Imba Together akitoa neon la shukrani kwa waiimbaji Wote waliokuja kunogesha Imba Together 2024 huku Zabron Singers kuahidi Imba Together ya 2025 wanakuja na limbo malum wa Imba together.
Mwambaji wa injili toka Kenya mkaazi wa New York, Gloria Mulor akiimba moja ya Nyimbo zake kwenye Tamasha hilo la Imba Together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston, Salem, North Carolina nchinii Marekani.
Mwambaji wa injili toka Ohio Jimmy Leba akiimba moja ya Nyimbo za injili kwenye Tamasha hilo la Imba Together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston, Salem, North Carolina, nchinii Marekani.
Mwambaji wa injili toka Dallas, Texas Mwangaza akiimba moja ya Nyimbo za injili kwenye Tamasha hilo la Imba Together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston, Salem, North Carolina, nchinii Marekani.
Mwambaji wa injili toka Ohio Grace Leba akiimba moja ya Nyimbo za injili kwenye Tamasha hilo la Imba Together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston, Salem, North Carolina, nchinii Marekani.
Mwambaji wa injili toka North Carolina John Mmanywa akiimba moja ya Nyimbo za injili kwenye Tamasha hilo la Imba Together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston, Salem, North Carolina, nchinii Marekani.
Mwambaji wa injili toka Atlanta, Georgia Leonard Mbwambo akiimba moja ya Nyimbo za injili kwenye Tamasha hilo la Imba Together lililohitimishwa siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024 Winston, Salem, North Carolina, 
nchinii Marekani.

Mpiga gitaa la bezi Ange Kayaya wa Afro Band akionyesha umahiri wake kupapasa gitaa hilo kwenye tamasha la Imba Together lililofanyika siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024, Winston, Salen, North Carolina.
Dj B dj wa kimataifa North Carolina akifanya vitu vyake.
Mpiga drums Yanis Kibunzi wa Afro Band akionyesha umahiri wake na fundi Mkubwa kuzipiga drums ouzo kwenye tamasha la Imba Together lililofanyika siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024, Winston, Salen, North Carolina.
Mpiga kinanda Yves Muka kutoka Afro Band akionyesha umahiri wake kupapasa kinanda hicho kwenye tamasha la Imba Together lililofanyika siku ya Jumamosi Desemba 7, 2024, Winston, Salen, North Carolina.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake