ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 7, 2024

KONGAMANO LA MWANAMKE WA HADHI IMBA TOGETHER North Carolina LAFANA

Picha juu na chini ni Anna Simtaji muasisi wa Imba Together Wengi hupenda kumuita Mbeba maono akitoa neno la shukrani kwa Wote waliofika kwenye kongamano la mwananmke wa hadhi lililofanyika kwenye ufunguzi wa tamasha kubwa la muziki wa injili unaoenda sambamba na kumsifu, kumwimbia na kumtukuza Mungu, Tamasha la Imba Together hufanyika kila maka, North Carolina
Mama Bishop Gwajima akichangia jambo kwenye kongamamo la mwanamke wa hadhi
Street Pasta Masanja akisherehesha kongamano la mwanamke wa hadhi lililofanyikia Wiston, Salem Siku ya Ijumaa Dec 6, 2024 na kuhudhuriwa na wats mbalimbali kutoka marimba tofauti wengine wakitokea Tanzania.
Mchungaji Dr. Dupe Akinola kutoka Nigeria akichangia mada ya mwanamke wa hadhi kwenye kongamano hilo.
Mchungaji mama Jessica Kamala Mushala kutoka Maryland kichangia mada ya unyanyasaji wa kijinsia kwa mwanamke anaopitia hususani kwa chi za Afrika huku alisema audi wa kwanza wa mwanamke ni mwanamke mwenzake, Akitolea mfano mwanamke anaponypigwa na mule wake, napokwenda kutafuta suluhisho kwa Wakazi wa même wake, nao badala ya kutatua attizzo, mama mkwe na dada wa lume huanza nao kumpiga na kuwaitíes upando wa Mtoto wao, na anapokimbilia kwa Wakazi wake kinchofanyikas ni kumkandakanda na balade kumrudisha kwa même wake kwa matai walipokea mahali wazazi hawawezi kukaa nae,
Mchungaji Hananja kutoka Tanzania akisalimia na kuchangia kwenye mada hiyo.
Dr. Annie Lasway kutoka Virginia akizungumzia watoto wanaozaliwa na usonji na kuelezea sababu kubwa inayotokana na tatizo hilo. Picha na Vijimambo Blog.
Kristin mmoja ya washereheshaji wa Imma Together akichangia mada ya mwanamke wa hadhi.
Waimbaji wa Nyimbo za injili wakiimba wimbo wa kumshukuru na kumsifu Mungu na wakimpongeza Anna Simtaji (aliyepiga Magoti) kwa uthubutu wake wa kuhakikisha Tamasha la Imba Together linafanyika kila mwaka kwani kuwa na moyo na ujasiri na uthubutu wa kuandaa Tamasha kama hilo kunahitaji moyo na kumjua Mungu.
Kutoka kushoto ni Diana Kisaka kutoka California, Dr. Annie Lasway kutoka Virginia, Anna Simtaji muongoza mjadala wa mwanamke wa hadhi kutoka Winston Salem, North Carolina, Zawadi Sakapala Ukondwa kutoka Maryland na Maryam Kalala kutoka North Carolina wakijadili mwanamke wa hadhi kwenye kongamano hilo.
Picha juu na chini wahudhuriaji wakiimba Nyimbo za kumsifu Bwana
Mwimbaji wa Nyimbo za injili Jimmy Leba kutoka Ohio akiongoza wenzake kwenye moja ya Nyimbo za kumtukuza na kumsifu Mungu.
Zabron Singers kutoka Tanzania wakiimba moja ya Nyimbo zao kwenye kongamano hilo la mwananmke wa hadhi.
Gloria Muliro kutoka Kenya mwimbaji wa Nyimbo za injili akiimba moja ya Nyimbo zake
Picha juu na chini ni mjadala wa mwanamke wa hadhi ukiendelea
Juu na chini wahudhuriaji wa kongamano la mwanamke wa hadhi wakifuatilia mjadala




 

No comments: