Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza jambo na Rais wa Marekani Joe Biden kabla ya kuanza kwa mkutano wa wakuu wa nchi za Marekani, Kongo na Zambia kuhusu ushoroba wa Lobito (Lobito Corridor), ambapo Tanzania ni mgeni mwalikwa katika mkutano huo unaofanyika katika mji wa Lobito nchini Angola tarehe 04, Desemba 2024.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake