ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 8, 2024

NAIBU WAZIRI MKUU DKT DOTO BITEKO ASHIRIKI MBIO ZA UDSM MARATHON 2024 KAMPSI YA MLIMANI LEO

Mkuu wa Chuo Kikuu Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salama Kikwete ambaye ni mbunge wa Mchinga pamoja na uongozi wote wa chuo kikuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho kikongwe Balozi Mwanaidi Maajar wakifurahia kuhitimisha salama na kwa mafanikio makubwa mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo. ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo Jumamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo. 
Picha na Issa Michuzi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akihutubia baada ya mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo umamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akisindikizwa baada ya kushiriki mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo Jumamosi Disemba 7, 2024. Katika mbio hizo Mhe Biteko ameshiriki fun run ya Kilomita 5 akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salama Kikwete ambaye ni mbunge wa Mchinga pamoja na uongozi wote wa chuo kikuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho kikongwe Balozi Mwanaidi Maajar. Lengo la mbio hizo ni kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akimkabidhi zawadi Aloyce Simbu mshindi wa KM 21 wa mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo 

Jumamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo. Lengo la mbio hizo ni kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.
Mwakilishi wa Benki ya NBC akipokea hati ya shukurani aliyopokea toka kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko kama mmoja wa wadhamini wa mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo Jumamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.
Mwakilishi wa Benki ya CRDB akifurahia hati ya shukurani aliyopokea toka kwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko kama mmoja wa wadhamini wa mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo Jumamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akiapata picha ya kumbukumbu na kamati ya maandalizi ya mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo 

Jumamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko  akiongea jambo na  na Mkuu wa Chuo Kikuu Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kishiriki mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo  Jumamosi Disemba 7, 2024. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akishiriki kupasha moto misuli kabla ya kuanza kwa  mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo  Jumamosi Disemba 7, 2024. Katika mbio hizo Mhe Biteko ameshiriki fun run ya Kilomita 5 akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salama Kikwete ambaye ni mbunge wa Mchinga pamoja na uongozi wote wa chuo kikuu  wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho kikongwe Balozi Mwanaidi Maajar. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akishiriki mbio za UDSM Marathon 2024 za Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika mapema asubuhi leo katika Kampasi ya Mlimani jijini Dar es salaamm leo  Jumamosi Disemba 7, 2024. Katika mbio hizo Mhe Biteko ameshiriki fun run ya Kilomita 5 akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salama Kikwete ambaye ni mbunge wa Mchinga pamoja na uongozi wote wa chuo kikuu  wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho kikongwe Balozi Mwanaidi Maajar. Lengo la mbio hizo ni kuchangisha pesa ili kujenga kituo cha wanafunzi chuoni hapo.

No comments: