ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 1, 2024

NBAA YATOA TUZO ZA UMAHILI KATIKA UANDAAJI WA TAARIFA ZA FEDHA YA MWAKA 2023 KWA MAKAMPUNI, TAASISI NA MASHIRIKA


Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali (IAG) CPA Benjamin Mashauri Magai akisoma hotuba ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year 2023 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA. Prof. Sylvia S. Temu akizungumza jambo wakati wa utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year 2023 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA)
Mkurugenzi wa Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) CPA Pius A. Maneno akitoa neno wakati wa utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year 2023 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kwa mgeni rasmi pamoja na wadau mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju Jijini Dar es Salaam.




















 
Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali (IAG) CPA Benjamin Mashauri Magai akikabidhi tuzo kwa Viongozi mbalimbali wa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika yaliyofanya vizuri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year 2023 Awards) zinayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA).
Baadhi ya wadau waliofika kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year 2023 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) zilizofanyika katika hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.
Washindi mbalimbali wa Tuzo zilizotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) wakiwa katika picha ya pamoja na meza kuu wakati wa utoaji wa tuzo za umahiri katika uandaaji wa Taarifa za Fedha ya Mwaka 2023 (Best Presented Financial Statements for the Year 2023 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwenye hafla iliyofanyika katika Hotel ya APC Bunju jijini Dar es Salaam.

No comments: