Friday, December 6, 2024

RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UCHUMI YA CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR ( ZANZIBAR UNIVERSITY )


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) akitunikiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 5-12-2024. Katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 22 yaliyofanyika 5-12-2024 na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wahitimu wa ZU katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo cha Zanzibar University,yaliyofanyika 5-12-2024, katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa “Degree of Bachelor of Science in Computer Engineering And Information Technology” wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) yaliyofanyika 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa “Degree of Bachelor of Business Administration in Accounting and Finance” wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman.wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) yaliyofanyika 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa “Diploma in Nursing and Midwifery” wakiwa kiapo cha uaminifu wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) yaliyofanyika 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
MTOTO Abdulrazak Ali Haji akiwa na uwa lake katika viwanja vya Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar Universit ) akisubiri kumkabidhi Kaka yake Rashid Suleiman Bakar, baada ya kutunukiwa Shahada yake katika Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) akitunikiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 5-12-2024. Katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukia Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) na Chancellor, Zanzibar University. Mhandasi Dr.Abdulqadir Othman,wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.






No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake