Monday, December 23, 2024

RAIS MSTAFU WA ZANZIBARDK,ALI MOHAMED SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA MAHKAMA YA MKOA KASKAZINI UNGUJA IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini hafla iliofanyika kijiji cha Pale Kiongele Wilaya ya Kaskazini A Unguja .Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mhandisi Mussa Hamad akitoa maelezo kuhusiana na Jengo katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.
Baadhi ya Majaji na Mahakimu mbalimbali waliohudhuria katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu "miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake