Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akicharaza gita la Bass alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Abdallah Bakari gita la Bass wakati alipokabidhi vifaa vya muzikivyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo, Desemba 29, 2024.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia midundo ya gita la bass lililokuwa likicharazwa na Abdallah Bakari wakati alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo,
Wasanii wa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa alipokabidhi vifaa vya muziki vyenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa bendi hiyo katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera wilayani humo,
Baadhi ya wanamuziki wa Mkurupuko Jaz Band ya Mbekenyera wilayani Ruangwa wakimsikiliza Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa alipozungumza baada ya kuikabidhi bendi hiyo vifaa vipya vya muziki vyenye thamani ya shilingi ilioni 20katika mkutano uliofanyika kijijini Mbekenyera, Desemba 29, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake