Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 ya Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) leo tarehe 20 Januari 2025.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake