Wanajumuiya wa jimbo la Georgia nchini Marekani wakijumuika pamoja katika mazishi ya mTanzania mwenzao Sheikh Kassim Abdul Bataringanya siku ya Jumapili January 5, 3035, Marehemu alizikiwa Katika makaburi ya New Muslim yaliyopo Bethlehem, jimbo la Georgia.
Ndugu, Jamaals na marafiki wakiwa Katika picha ya pamoja katika mazishi ya mTanzania mwenzao Sheikh Kassim Abdul Bataringanya siku ya Jumapili January 5, 3035, Marehemu alizikiwa Katika makaburi ya New Muslim yaliyopo Bethlehem, jimbo la Georgia.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake