Wednesday, February 5, 2025

MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA KUZALIWA CCM JIJINI DODOMA


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM akimtambulisha Mgombea mwenza Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama hicho Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye Maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama hicho kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 5 Februari, 2025.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimia wanachama na wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama hicho kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 5 Februari, 2025.
Shamrashamra wakati wa maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 5 Februari, 2025.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wanachama na wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama hicho kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 5 Februari, 2025.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake