ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, September 16, 2010

Mh.Balozi Maajar katika ITIFAKI ya kuelekea JUMBA JEUPE

Juu na chini Afisa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani,Sharen Dunn akiwasili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico tayari kumsindikiza Mh.Maajar kuelekea White House kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais Obama
Afisa wa Wizara ya Nje ya Marekani Sharen Dunn akipokewa na Afisa Balozi Suleiman Saleh,mara alipowasili kwenye makaazi ya Mh.Balozi Maajar,Bethesda,MD
Bi.Sherin Dunn akimuongoza Balozi Maajar kuelekea kwenye LIMO
Balozi Maajar,Mumewe Bw.Shariff Hassan Maajar,Mjukuu Kai wakiwa na Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani tayari kuelekea White House
Kutoka kushoto Mh.Balozi Maajar,Mumewe Bw.Shariff Maajar,Bi. Sharen Dunn na Afisa Balozi Suleiman Saleh
Bi.Sharen Dunn akimsindikiza Mh.Balozi Maajar kwenye Limo mahususi kutoka White House
Kutoka kushoto ni Bw.Shariff Maajar,mjukuu Kai,Bi Sharen Dunn na Mh.Balozi Maajar
Mh.Balozi Maajar akiingia kwenye Limo kuelekea White House
Limo mahususi lilomchukua Mh.Balozi Maajar kuelekea White House

No comments: