Wachezaji wa Morocco wakiwasili.
TIMU ya taifa ya Morocco a.k.a Simba wa Milima ya Atlas, jana usiku iliwasili nchini kwa ajili ya kuivaa timu ya taifa, Taifa Stars, ambapo paparazzi wetu alikuwepo Uwanja wa Ndege Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam (JNIA) wakati timu hiyo ikiwasili. …..Wakielekea kwenye basi.
…….Wakipanda basi kwenda kupumzika Kempinski Hotel.
Maafande wakiwa uwanjani hapo kuhakikisha wanailinda timu hiyo.
Wakati timu hiyo ikiwasili, Afisa Habari wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) Florian Kaijage, hakuonekana uwanjani hapo kuelezea mapokezi ya timu hiyo, hivyo waandishi wa habari walilazimika kupata mawili-matatu kutoka kwa afande huyu (kushoto).
PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL
No comments:
Post a Comment