ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 24, 2010

STARS UNITED KUANZA SAFARI YA KUELEKEA HOUSTON,JUMATANO

STARS UNITED,KANDANDA SAFI KIWANGO CHA TBS
Timu ya Stars United Jumatano Nov 24 itaanza safari ya kuelekea Houston,TX kwenye sherehe za Thanksgiving ambavyo huadhimishwa kila mwaka mjini  H-Town.

Stars United itaanza safari yake kwa baadhi ya wachezaji kuendesha kuanzia DC na kupitia wenzao wa NC na GA na hatimae kuingia Houston,TX Alhamisi jioni.

Wachezaji wa Stars watakaoingia Ahamisi Houston ni Ebra Nyagaly(NY),Yahaya Kheri,Evans Shangarai,Jeff Mariga(DC) wengine ni Simon Marko,Shabani Mwampambe,Denis Geofrey,Aloys Kiyori,Mohamed Musa(NC),Elvis Dotto Mnyamuru,Abel Kigwila na Joe Kigwila(GA)

Wachezaji watakaoingia Ijumaa ni Rahim Chomba(MA),Liberatus Mwang'ombe,Giles Maji(DC),Edgar Kisoka(TN),Mudrick Majaaliwa na Balozi Ali(WA)

Wachezaji wataoingia Jumamosi ni Liganga Hamza(GA) na Tif Maalim(MI) wengine watakao amabatana na timu ni Daktari Didi Vava na Mbeba Jezi amabye pia ni Dereva wa timu Luka Kinyang'anyiro.

Wachezaji wa Stars ambao wameshindwa kusafiri na Timu kutokana na kukosa ruksa za mwajili wao ni Feisal Mwana Njenje,Hamfrey Owen,Inno Geofrey,Seif Kadria,Beach Boy,Fred Mbulushi na Michael Mngodo na wachezaji walioshindwa kusafiri kwa sababu za kifamilia ni Vincent Ndusilo,Lemmy Mhando,Dulah Riyami,Muly Chomba,Elisha Mundo,Amani Maleale na Adam Tenga.

Godfrey Oswald(MN) yeye ni majeruhi.

Stars ilikua ifungue dimba na Houston,lakini watayarishaji wa mashindano hayo wamebadilisha ratiba ambayo sasa wenyeji watafungua dimba na Pasi Buku ya Arkansas na kufuatiwa na mechi ya Stars United na Burundi na baadae kutakua na mpambano wa fainali kati ya mshindi wa kwanza na mshindi wa pili.

HOUSTON THANKSGIVING SCHEDULE
25th Thursday: 10:00pm-wee hrs- DJ’S FROM ALL OVER THE WORLD WILL BE ON 1’S AND 2’S LIVE.
                                DJ REX, DJ ISSAR plus GUEST DJS
                                JEANS PARTY CONTEST AND WINNER GET $500.
                                COVER $10. DRINKS SPECIAL ALL NIGHT.
VENUE: NEW SAFARI CLUB, 7601 Demoss dr, Houston, TX  77036

26th Friday- BASKET BALL GAME. @ Pilgrim Lutheran Church.
8601 chimney rock road, Houston, TX 77096
12:00pm-6:00pm TANZANIA ALL STARS v/s NIGERIA
9:00pm-11:00pm- Tobin lounge bar and grille...1809 Eldridge Parkway, Houston, TX 77077
11:30pm-wee hrs: NEW SAFARI CLUB... (Address above)
                                NO cover all night and free drinks.

27th Saturday: SOCCER GAMES AND NYAMA CHOMA
12:00pm-1:30pm- HOUSTON V/S ARKANSAS
01:30pm-3:00pm- STARS UNITED V/S BURUNI ARIZONA
04:00pm-5:30pm-WINNER GAME 1 V/S WINNER GAME 2
ADDRESS: 14501 SOUTH FONDREN, HOUSTON, TX, 77489
08:00pm-10:00pm- POOL CONTEST- HOUSTON V/S DC
@ FOX AND HOUND, 11470 WESTHEIMER ROAD, HOUSTON, TX 77077
11:00pm- wee hrs- NEW SAFARI CLUB (Address above)
                NO COVER AND FREE DRINKS ALL NIGHT

28th Sunday- Scott Gertner Sports bar
06:00PM- Midnight- Drinking and saying goodbye..

2 comments:

Anonymous said...

hivi inaruhusiwa kutandika bendera ya taifa chini? na kuweka mpira juu? just want know!!!

Anonymous said...

Don't you guys know "Tanzanian flag never touch ground"? Please I am very offended to see my flag to be on ground. Dj Luca please tell Rashid Beach Boy and his friend to pick up the FLAG and never let it be on floor again.