ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 25, 2010

ASIA IDAROUS ASEMA HOUSTON KAENI MKAO WA MITINDO NITE,LEO ITAKUA BALAA DEC 25,2010 KUWAKA MOTO

Asia Idarous mama mitindo kutoka Bongo akipata U-kodak moment na Models wake baada ya mazoezi ya kufa mtu
Dj Luke kutoka DC pamoja na Asia Idarous bila kumsahau Lambert(LBT) kwenye U-kodak wakiwa kwenye Hall la Swiss Rayal,Houston,TX
Sam Mkumbo akiwa na Asia Idarous mama mitindo ambae leo muda mchache ujao atawasha moto na amesema na kutangaza hali ya hatari kwa wakazi wa Houston wakae mkao wa mitindo night kwani leo si mchezo akiwa bega kwa bega na Dj Luke kutoka DC wakienda sambamba na Dj Rex yote ndani ya Swiss Royal iliyopo 
9651 Bissonnet St,
Houston,TX,77036

No comments: