Asia Idarous Khamsini Jumamosi,December 25,2010 aliwapagawisha Houston kwa Khanga Mitindo Nite iliyofana sana,na hii ilikua ndio mara ya kwanza kufanyika onyesho la vivazi vya Khanga
Hawa ndio models walioshiriki kwenye onyesho hilo la Khanga la Asia Idarous Khamsini lilopromotiwa na Sam Mkumbo.Kwa picha zaidi Bofya Read More.
No comments:
Post a Comment