| Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Pengo akifukiza ubani kwa kutumia chetezo katika mfano wa pango alipozaliwa Yesu Kristo huko Bethlehem miaka 2000 iliyopita, katika Kanisa la Kiaskofu la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam jana. (Picha na Robert Okanda). |
No comments:
Post a Comment