kanisa la KISWAHILI Hapa DC(INJILI KWA NJIA YA MSALABA)Lina wakaribisha wakazi wote wa maeneo ya washington DC,Meryland na Viginia kwenye ibada maalumu ya mwaka mpya tarehe 02/01/2011 kuanzia 1:00pm hadi 3:00pm.
adress ni
3621 campus Drive,
college park,MD 20740.
Ibada hiyo itakuwa ni kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa kumaliza mwaka na kuanza mwaka mpya pia kanisa hilo litawasimika viongozi wake wapya.KUTAKUWA NA WAIMBAJI MBALIMBALI,The sound of glory wataimba pia.
kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Rev F Shideko (202)367 3275
Rev J Mbatta (703)863 2727
Mr .J Merere (240)706 0351 katibu wa kanisa.
No comments:
Post a Comment