ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 27, 2010

Tufani Mbaya yaikumba miji ya Philly PA,Jersey City(NJ),New York(NY),Hartford(,CT),Boston(MA)

Picha juu na chini ni Manhattan New York kama inavyoonekana ilivyokumbwa na tufani ya theluji iliyopelekea kusitishwa kwa safari 4,000 za ndege,Treni na mabasi na kusababisha wasafiri waliokua wameenda miji hiyo kwa shererhe za Xmas kuchelewa kurudi makwao.(picha zote na mdau Ebra Nyagaly)

No comments: