
Ijumaa ya March 25,2011 kutakua na shindano la kucheza YENU,kama unafikiri unayaweza kuyarudi na kujinyakulia Donge nono basi usisite kuijiandisha.jiandikishe kupitia djlukejoe@gmail.com
MSHINDI WA KWANZA-$300
MSHINDI WA PILI -$150
MSHINDI WA TATU -$50
No comments:
Post a Comment