Mayrose mwenye kipindi cha Mayrose TALK SHOW kinchorushwa na Star TV,Tanzania anakukaribisha kwenye kipindi chake kitakacho zungumzia Demokrasia ya Nchi yetu siku ya Alhamisi March 17,2011 saa 11:00 jioni(5:00Pm),Millenium Club
Address
1511 University Blvd
Hyattsville,MD,20783
Hii ni kwa Watanzania wote Ndani na Nje ya DMV
KARIBU
Zingatia Muda tafadhali kuna Disco La Latino Linaanza Saa 3:00 Usiku(9:00Pm)
Zingatia Muda tafadhali kuna Disco La Latino Linaanza Saa 3:00 Usiku(9:00Pm)
No comments:
Post a Comment