Grace kwenye picha yake alipograduate
Juu na chini Grace akiwa na rafiki yake,BFF
Juu na chini ni Grace akipata U-kodak na marafiki zake
Mzazi mlezi wa Grace Marekani,Mallya akiwa na mama mzazi wa Grace,Geraldine
Michael,Baba mzazi wa Grace aliyekuja kutoka Tanzania akiongea machache kumpongeza mwanae kumaliza High school
Geraldine,Mama mzazi wa Grace nae akiongea machache kumpongeza mwanae
Ugeni mzito kutoka Tanzania ulioambatana na Baba mzazi kwa ajili ya Graduation ya mwanae Grace
Kwa picha zaidi Bonyeza Read More
1 comment:
Safi sana Gerladine hongera kwa kutulisha na kutunywesha. umemfanyia mwanao graduation ya nguvu tume enjoy sana.
Post a Comment