Advertisements

Friday, June 10, 2011

Image
Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, Norbert Mtega (kushoto kwake) na Askofu Mkuu wa kanisa hilo Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo (kulia kwake) wakati alipohudhuria sherehe za Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mtega, zilizofanyika mjini Songea. Kulia kwa Askofu Mkuu Pengo ni Mke wa Mkapa, Anna, na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dk. Christine Ishengoma. (Picha na Revocatus Kassimba).

No comments: