KONGAMANO LA UMISHENI
kutakuwa na kongamano la umisheni la siku tatu hapa kanisani
kuanzia tar.17-19/6/2011 siku ya Ijumaa hadi Jumapili. Muda wa
wa kuanza kongamano ni saa 12:00 jioni kwa siku za Ijumaa na
Jumamosi. Jumapili tunaanza saa4 asubuhi hadi jioni ya saa12.
Mchungaji Malekela MJ
Kanisa la Assemblies of God
12805 Georgia Avenue,
Silver Spring MD 20906
Simu: 202 520 3243,
** wote mnakaribishwa sana**
No comments:
Post a Comment