ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 14, 2011

Image
Meneja mradi wa ujenzi wa daraja la Malagarasi mkoani Kigoma Jung Sik You (katikati) kutoka kampuni ya Hanil Engineering & Construction Ltd ya Korea akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa Kigoma, Joseph Simbakalia (wa kwanza kulia) kuhusu mahali ambapo daraja litapita na hatua iliyofikiwa sasa ya ujenzi wakati kiongozi huyo wa Serikali alipotembelea kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo. (Picha na Fadhili Abdallah).

No comments: