ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 27, 2011

Misa Kwa Kiswahili J2 ya July 3, 2011

Ndugu wapendwa mabwana na mabibi,vijana kwa wazee na watoto  na wapenzi wote wa Misa na Ibada kwa lugha ya Kiswahili. Karibuni sana katika Misa ya kiswahili ya kikatoliki.
Mahali:-  Parokia Katoliki ya  Mtakatifu Mark
               7501 Adelphi Road
               Hyattsville,  MD 20783
Lini?    Jumapili July 3, 2011
Muda:- Saa nane na nusu mchana (2:30pm).
Karibuni sana wote.
Baada ya misa tutachainga mawazo juu ya  Uiongozi wa jumuiya yetu ya Kikatoliki. Njooni na mawazo ya maendeleo.
 "Daima Mbele. Nyuma mwiko"
Asanteni sana.
 
Wenu Padri Shao na Kamati ya Muda

No comments: