ANGALIA LIVE NEWS

Monday, June 27, 2011

Image
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais wa zamani wa Zambia, Dk Frederick Chiluba, katika ubalozi wa nchi hiyo jijini Dar es Salaam. Anayeshuhudia ni Balozi wa Zambia nchini, Mavis Lengalenga Muyunda. (Picha na Freddy Maro).

No comments: