*Kutokujiamini, Aibu na Ukarimu ni Tatizo kwa Watanzania - Swahili News*
Kutoka chanzo kisicho maalum hapa Marekani, inasemekana Watanzania in watu wenye upeo mkubwa sana wa kuelewa mambo ukilinganisha na watu wa mataifa mengine ya Afrika.Wamarekani kadhaa walisikika wakiongea katika lugha ya Kiingereza katika hafla ya michezo ya mpira wa kikapu(basket ball) mwaka 2010. Mwaka huu 2011baadhi ya wa-Nigeria walikiri ukweli huo.Kujua zaidi konga hapa kusikiliza; http://www.talkradio.clearvybz.com/Forums
No comments:
Post a Comment