ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, June 11, 2011

Vice President Meeting with Tanzanians in New York

Ndugu Watanzania waishio New York na maeneo ya jirani
Ninapenda kuwatangazia kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal atakutana na Watanzania
Jumapili ijayo, June 12, 2011. 

Mkutano huu utafanyika nyumbani kwa Balozi wa
Tanzania Umoja wa Mataifa, Mount Vernon New York saa nane kamili mchana. 

Anuani utakapofanyikia mkutano huu ni:

30 Overhill Road, 
Mount Vernon NY 10552.

Mnaombwa kuhudhuria kwa wingi ili tuweze kumsikiliza kiongozi wetu na vile
vile kutoa maoni kuhusu shughuli za maendeleo na ujenzi wa taifa letu huko
nyumbani. Tafadhali tuzingatie muda.

Asanteni,

Vincent Mughwai
Katibu
New York Tanzanian Community

No comments: